Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Aah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We ndio umemtag mm sipo huko.Aladeen04 atakuwa na majibu sahihi..kesho uje umuulize zaidi km ni mdau wa huduma hiyo
Aah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We ndio umemtag mm sipo huko.Aladeen04 atakuwa na majibu sahihi..kesho uje umuulize zaidi km ni mdau wa huduma hiyo
Mm ndo nipo moroNawe uko External, nikufuate uje piga gambe?
Ulivyomtag siku ile hukuwepo ..subiri aje 😊Aah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We ndio umemtag mm sipo huko.
Najua tu cafe moja inaitwa Snapchat food .Yeap alikuwa kule chini na muda km huu ndo alitawala issue za ftari
[emoji4][emoji4][emoji4] ntakaribia ..japo brother fyddell anaumiza kichwa sana kujua ni wapi. Mkaribishe pia ile proper
Niibie siri maana huyu dude Super Villain kazidi kujimwambafaiIT hewa
Mwalimu wake yupo tele[emoji38]
Yeap ndo hiyo hiyo..mmiliki wake ni bonge mmoja hivi labda kama kapaachiaNajua tu cafe moja inaitwa Snapchat food .
Nimemwambia ni Morogoro tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo mbona mm natumia huu sijui ni mwaka wangapi wanapiga anti walifanikiwa nikatumia ile og week tu ilivyopita week nikarudisha nyingine hiyo ambayo imekuwa modern hufungiwi ndio niko nabadilisha na kuupdate tu kama kawaida.Mkuu nilikuwa na GB whatsapp kabla anti's hazijatengenezwa, now natumia ya kawaida but kila nikidownload hazitaki kufunction. Naweza pata ipi ikafunction fully? Hii ya kawaida inanikera mbayaa
Inawezekana ikawa hivyoYeap ndo hiyo hiyo..mmiliki wake ni bonge mmoja hivi labda kama kapaachia
Haya jifanye kubwa la msingi, labda kama umeenda jana😊Mm ndo nipo moro
Nimesikia karibu mkoa wetu wa MorogoroFanyeni hivyo walinzi wenzangu. I like socializing maisha yenyewe mafupi Haya.
Weylyn umesikia mamii?
[emoji23][emoji23][emoji23] Unafurahi unavyo niumbua sio.IT hewa
Mwalimu wake yupo tele[emoji38]
Nipe link niidownload maana kila nikidowload anti wakati wa kusajiri number yangu inagomaZipo mbona mm natumia huu sijui ni mwaka wangapi wanapiga anti walifanikiwa nikatumia ile og week tu ilivyopita week nikarudisha nyingine hiyo ambayo imekuwa modern hufungiwi ndio niko nabadilisha na kuupdate tu kama kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ac ilikuwa hacked siku ile mzee kwani sinilikuambia kuwa sio mm yule siku ile.Ulivyomtag siku ile hukuwepo ..subiri aje [emoji4]
Mimi natumia FM WhatsApp nayo bomba tu.Mkuu nilikuwa na GB whatsapp kabla anti's hazijatengenezwa, now natumia ya kawaida but kila nikidownload hazitaki kufunction. Naweza pata ipi ikafunction fully? Hii ya kawaida inanikera mbayaa
Ushanza bongo movie.. wakizingua wanasema wapo hacked[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ac ilikuwa hacked siku ile mzee kwani sinilikuambia kuwa sio mm yule siku ile.
Unajua nimesoma huko A level? So pande za Kionda, mazimbu hostel za Sua kule, misufini mpaka Sua kwenyewe...