Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,051
Siku hizi nimekuwa mtoro sana lindoni
Utakutana na ujumbe wangu Tele kacheki.Haujamuona Teleyupo kule anazurura
Kwani mm na ww kesi haikuisha 😂😂Acha awapange tu huko.. mimi alinitumia shutma humu 😂 Super Villain em sogea hapa.. ulidhani utalicontrol kwa Gb whattsap
Hahha mimi najitoa tu ufahamu nakaa zangu hapo nywele zimefumuka sijali nipo busy na ka simu kangu .Si unatakiwa kwenda na status
Mimi kawaida yangu ilikuwa kule chini.. ila chips ngoma kule juu mara nyingi. Nilikuwa na jombaa ambaye bila ID au cafe hali ikabidi nipazoee cafe japo misosi ya ajabu kheri ID.nilichopendea ni juice ya rosella![]()
Usitishe watu.. wewe sio wa kutoa shutma zile na saa hii unatumia gb whattsap ili nisione hata km upo online sioUtakutana na ujumbe wangu Tele kacheki.
Hahha mimi najitoa tu ufahamu nakaa zangu hapo nywele zimefumuka sijali nipo busy na ka simu kangu .
Juu wanaweza zaidi kupika Chipsi kuliko chini ndio ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu..Siku hizi nimekuwa mtoro sana lindoni
Kama unataka gb WhatsApp nikupe 😂😂😂😂 Ile siimekata kiovuovu unaficha mavitu tu.Usitishe watu.. wewe sio wa kutoa shutma zile na saa hii unatumia gb whattsap ili nisione hata km upo online sio
Hahaha siku hizi Fridays karibu na Ntare wanaandaa bites, mishikaki wanapaita kijiweniNgekuepo ungenipa offer maana watoto wa pale wengi miss independent..mnajikuta mnashea costs
Mzee wa viwanja huyo 😂😂😂 ananiambia yupo om lakini anasikia kelele za samaki pale anasema zinamtesa hataki kwenda anaogopa corona saiz 😂😂😂Wewe hujataka kuimaliza mzee.. unasingizia unanidai af nimekublock kila sehemu af kwa mzee wa terminal pub Aladeen04
HauelewekiUtakutana na ujumbe wangu Tele kacheki.

Ww si ndo unaitumia af unajikuta bonge la spy kama cia sababu unaeza view status ya mtu bila yeye kujua 😂😂Kama unataka gb WhatsApp nikupe 😂😂😂😂 Ile siimekata kiovuovu unaficha mavitu tu.



hayo ni mateso bila chukiHuyo kuna sehemu ataenda..vib sio 😂😂Mzee wa viwanja huyo 😂😂😂 ananiambia yupo om lakini anasikia kelele za samaki pale anasema zinamtesa hataki kwenda anaogopa corona saiz 😂😂😂
Huko vitu kibao ..vinakuja vinaibuka vingine...nishapazoea..Hahaha siku hizi Fridays karibu na Ntare wanaandaa bites, mishikaki wanapaita kijiweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikosea sasa ila saiz ndio maelezo yenye 😂😂😂😂😂Haueleweki![]()
Hahaha ndo hivyo kuna muda unakuwa unachangia thread huku kumbe hujui kuna message Pm .hayo ni mateso bila chuki