Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Hii michezo kwani nafanya pekee yangu basi mbona wengi ww kama unataka kujua matumizi ya GB WhatsApp njoo nikupe hayo sio matumizi mbona bado lengo langu sio hilo umefeli kucheza hapo 😂😂😂😂😂Ww si ndo unaitumia af unajikuta bonge la spy kama cia sababu unaeza view status ya mtu bila yeye kujua 😂😂


