Nipo Last Score Kimanga hapa, tahadhali zote against Corona zinafuatwa
Unanikosea mimi, Mi nataka tulinde pamoja lindo moja tujenge our unique legacy.
Nimepamiss sana tu kule ila ndo hivyo tenaUshamiss milima maskini.. pole
Oh no miongoni mwa wale mliokimbia Corona? 😂Wengine hatupo mjini..hope watakaribia
Mapepe mengi sanaMwanzonj mapepe mengi saa hii.mfungo umekuingia.. hivi siez appeal ramadhani iongezwe muda kama mwezi hivi
Unique Legacy ndo ikoje hiyo ?Unanikosea mimi, Mi nataka tulinde pamoja lindo moja tujenge our unique legacy.
Matter of time utamuona ..sweetheart wenu njoroge 😊
Nitakuelewesha mrembo wala usijari
Movie zipo ila usiku hv siangaliagi
SielewKwamnba hutaki au huamini ?
Inaumiza mqcho bwanaHuwa inatokea hiyo kwangu mara kwa mara, sometimes naamua kutumia crome tu
kila saa kuzoom tuuHuelewi wapi, sema nikueleweshe fasta.Sielew
Hahaha nimemiss IDM club pale watu huwa wanaogopa kula pale wakati wali nyama ni huku heri kama kwingineMatter of time utamuona ..sweetheart wenu njoroge![]()
Oh no miongoni mwa wale mliokimbia Corona? 😂
Wao barakoa hawana na juu ya defender wamebanana
Sent using![]()