JamiiForums Usiku wa manane
I hope it's fair if I call it a night. Feeling like I wanna hit my pillow now.
Sakayo sweetheart bye nakuachia funguo
Weylyn itabidi uko uhame kama kuna usumbufu na joto kipindi hiki cha haki ya hewa mwanana nchi nzima.
Jurjani nakuachia lindo na warembo, Naimani Hakuna kitakachoharibika bro
Funguo nabaki nao tuu usijali kabisaa my dear!!
See you later....Usisahau kunawa mikono na maji tiririka!!
 
I hope it's fair if I call it a night. Feeling like I wanna hit my pillow now.
Sakayo sweetheart bye nakuachia funguo
Weylyn itabidi uko uhame kama kuna usumbufu na joto kipindi hiki cha haki ya hewa mwanana nchi nzima.
Jurjani nakuachia lindo na warembo, Naimani Hakuna kitakachoharibika bro
Sleep well , mimi hadi nianze kubembeleza usingizi sio sasa .
Hahaha sio rahisi kuhama hivyo .
 
Dah....
IMG-20200501-WA0063.jpeg

Sent using Beretta ARX160
 
Back
Top Bottom