JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Waungwana,najua humu hakuna watwana, asikwambie usingizi ni jambo adhim sana, sababu leo siko zamu ya lindo, nilipita tu kuwasalimu baada ya kuona vipenzi(wanawake) vyetu humu vimejaa tele, nikasema niwasalimie.

Ngoja nirudi kulala.
 
Na Yesu akulinde
 
Back
Top Bottom