Pole sana Chalii akeI'm pissed off this early morning. I wish ingekuwa bado usiku.
Tufunge mkuuNimekuja kufunga lindo
Nimekaribia.Karibu sana
Sana aisee. Aibu ndio uanaume wenyewe bali binadamu kamili lazima awe na aibu.Kumbe Wanaume wana aibu..
Baadae kidogo
Hehe aliekuja kufunga lindo amepitiwa na usingizi alafu maboss wanakaribia kufika ofisiniTufunge mkuu






Tutajadili wakati wa lindoSana aisee. Aibu ndio uanaume wenyewe bali binadamu kamili lazima awe na aibu.
Hili halihitaji mjadala, ukweli hivyo, kwani kuweka wazi jambo ambalo liko wazi ni kuzua tatizo lingine bali ni matumizi mabaya ya akili.Tutajadili wakati wa lindo
Sawa MkuuHili halihitaji mjadala, ukweli hivyo, kwani kuweka wazi jambo ambalo liko wazi ni kuzua tatizo lingine bali ni matumizi mabaya ya akili.
Unarudi tena kule kule.Sawa Mkuu