Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,958
Sawa mpendwaOh kumbe tutasindikizana. Naona unarudirudi kwambaaali, ngoja niubembeleze
Umeona ee. Au wapo quarantine na hakuna internet
Mmh sidhani.. nahisi majukumu yatakuwa yamewabanaUmeona ee. Au wapo quarantine na hakuna internet
Hasa yale ya usiku wakiwa halftime utawaona hapa
Ngoja nijichanganye..nioneUkijichanganya tu, ngoja nibadili mwandiko.