Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,548
Sijapita huku kitambo....kumbe bado mpo
Ni kweli kabisa, kama umechukua tahadhali zote mchana dhidi ya adui atusumbuae sasa huna budi kumshukuru Mungu.Karibu mkuu, namshukuru Mungu kwa kuuona usiku maana siku hizi huu ndio muda salama zaidi
Karibu lindoni mkuu00:09
Sijapita huku kitambo....kumbe bado mpo
Hapa panaitwa mtakuja. 😂😂Sijapita huku kitambo....kumbe bado mpo
Hakika, hili chimbo huwa linanoga sana mida hii...Kumbe na wewe upo, ayayayaya Mungu anakuona.
Kazi tunayo, kuna watakao sema ni mlevi. Ila ni pombe gani kali iliyoanza kupikwa majuzi hadi iwe inadondosha watu hivi?Nasikia kuna mtu Moshi leo kaondoka njiani. Hali ni mbaya jamani
Kazi tunayo, kuna watakao sema ni mlevi. Ila ni pombe gani kali iliyoanza kupikwa majuzi hadi iwe inadondosha watu hivi?
Binafsi nadhani wakubwa wa nchi wanakosea mahali. Wanajaribu kufanya hali ionekane sio mbaya sana ilihali inakula kwa ndani. Ukipita mtaani unaweza kuona wananchi walivyo relax kwa sababu ya taarifa wanazolishwa.China pale mjini Wuhan ilikuwa hivi hivi kabla hawajagundua kuwa ni Corona ila huku pamoja na kugundua mapema ila watu wanafikia state ya kudondoka mabarabarani. Tatizo nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
China pale mjini Wuhan ilikuwa hivi hivi kabla hawajagundua kuwa ni Corona ila huku pamoja na kugundua mapema ila watu wanafikia state ya kudondoka mabarabarani. Tatizo nini?
Sent using Jamii Forums mobile app


