fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Hello, ushalala sasa au ndo lindo tamu?
Hello, ushalala sasa au ndo lindo tamu?
Karibu mamii02:29hrs
You're no where to be found😊😊😉Why don't you come up sometime and see me
Sawa na ni vyema kutolisaliti lindo lako..
Sawa sawa usingizi hauji tenaSawa na ni vyema kutolisaliti lindo lako..
Sogea nikunong'oneze walinzi wengine wasisikie😉
Hahaha ngoja niache kuchezea simu nilale nilikuwa naota ndoto nzuri .Sogea nikunong'oneze walinzi wengine wasisikie![]()
Haya nakutakia usingizi mwema.. MI bado nipo nipo kwanza before I hit my pillowHahaha ngoja niache kuchezea simu nilale nilikuwa naota ndoto nzuri .
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya usiku mwemaHaya nakutakia usingizi mwema.. MI bado nipo nipo kwanza before I hit my pillow
Tatizo ndoto nzuri huwa hazijirudii labda aumue kuiendeleza mwenyewe kimawazo huku ukijifariji kuwa umesinzia/ lucid dreamHahaha ngoja niache kuchezea simu nilale nilikuwa naota ndoto nzuri .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe pia
Tuko pamoja mkuu😁😁😁Leo lindo nimeachiwa mwenyewe. Ngoja nikomae maana askari hodari ni yule anayetimiza majukumu yake pasipo kujiuliza mara mbilimbili.