Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Wacha kumzingua Super Villain
Wacha kumzingua Super Villain
Amna hii nimoja ya zawadi yangu nimempa leoHuu ujumbe mzito huu mzee mwenzangu
Eti ni nani huyo newcomer naomba kumjua [emoji23][emoji23][emoji23]
Uliona gere mwenye hiyo yako sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
India Arie
Naacha kwa heshima yako ila leo umemtetea ghafla.. au zile vitu amekuhaidi kukupa saa hiiWacha kumzingua Super Villain
Kabila lao wabishi kinoma. Hizo ni genes zao😂😂😂 huyu dogo jeuri sana .. ukiemda nae soft utafeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simiss kawatengenezeeni picha ya uwongo mnajua sijui ni nn simissNakuunga mkono hayupo. Cha muhimu hakikisha uvungu unatosha [emoji1787][emoji1787]
Tena sie huku kuimba wala hatutumii nguvu,huku tukisindikiza na Urojo line kutoka visiwa vya shelisheliEwaa tutapiga za muchachacho kama zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwann embu nyosha maelezo.
Kizazi jeuri sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu dogo jeuri sana .. ukiemda nae soft utafeli
Kabila lao wabishi kinoma. Hizo ni genes zao
Unajua mwenye sasa mnamjua huyo newcomer [emoji23][emoji23][emoji23] umefanya uwongo kuwa ukweli umefanikiwa kwa hili.Mimi niongope ili nipate nn [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah nyie wana mmejua kujifurahisha leo [emoji119]Hata gari likija kwa kasi wao huwa wanaona wana haki ya kutumia zaidi barabara..wabishi hadi kuvuka chap chap mwisho wa siku ni vifo tu