simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Hajaniteka na hawezi kuniteka ila kuna kipaji chake huyo mtu wa mindu
😂😂😂 si aliniambia katokea zimbu
Hajaniteka na hawezi kuniteka ila kuna kipaji chake huyo mtu wa mindu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona unautani na makabila ya watu we mzee.Ww mluguru wa moro
Oya mbona kama mnasuka mission flani ya kunizunguka namna flani hivi. Siwasomi kabisa hapo 😡😡😡naona umenificha white na unataka mm nipindue meza sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefeli nyie [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe unawajua mzee.. sasa mkazie huyu jombaa Super Villain
Nipe mbinu mbadala 🤣🤣
Oya mbona kama mnasuka mission flani ya kunizunguka namna flani hivi. Siwasomi kabisa hapo 😡😡😡
Andia Arie- Purify me
Huyu mzee ni mtata sana alinipa ahadi ya kitu fulani naona jana kani badilika ghafla saiz ananiambia haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchongo mchongo eti dah simissOya mbona kama mnasuka mission flani ya kunizunguka namna flani hivi. Siwasomi kabisa hapo [emoji35][emoji35][emoji35]
Tatizo amekwishaizoea ile newcomer kiasi kwamba haimpi furaha. Ameshamchoka anataka asepe ila si unajua hana pa kwenda?Huyu dogo huwa hasumbui siku akiwa na mood nzuri.. hicho ndo kitonga..komaa nacho
[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah haya mzee wangu umeshinda ww.Em angalia hili jina Mnazareth .. ukijitia jeuri nakuwa myahudi af nakusulubisha tu.. pindua uone
Alikuchota huyo kwao mgeta na bahari ya mindu😂😂😂 si aliniambia katokea zimbu
Mgeta bhasi Super Villain officcially mluguruAlikuchota huyo kwao mgeta na bahari ya mindu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] LohTatizo amekwishaizoea ile newcomer kiasi kwamba haimpi furaha. Ameshamchoka anataka asepe ila si unajua hana pa kwenda?
Awww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmefeli nyote nyieAlikuchota huyo kwao mgeta na bahari ya mindu
Tatizo amekwishaizoea ile newcomer kiasi kwamba haimpi furaha. Ameshamchoka anataka asepe ila si unajua hana pa kwenda?