Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
[emoji38]kile xhuo pale stome town chasaidia sana etiTena sie huku kuimba wala hatutumii nguvu,huku tukisindikiza na Urojo line kutoka visiwa vya shelisheli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]kile xhuo pale stome town chasaidia sana etiTena sie huku kuimba wala hatutumii nguvu,huku tukisindikiza na Urojo line kutoka visiwa vya shelisheli
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mwenye sasa mnamjua huyo newcomer [emoji23][emoji23][emoji23] umefanya uwongo kuwa ukweli umefanikiwa kwa hili.
[emoji848][emoji848]sjui hata n nnAhh acha hizo..
em ntumie ile ain't got nothing
😂😂😂😂😂😂😂 safii..ongeza oxygen zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah nyie wana mmejua kujifurahisha leo [emoji119]
Maelezo unayajua ww sipaswi kuyarudia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwann embu nyosha maelezo.
Naona bday leo utasherehekea vilivyo [emoji23][emoji23][emoji23] kesi unazonipa unajua kabisa siwezi zitoka ushindi upo kwako sasa.Babaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..usilie sasa
Some people live for a fortune[emoji848][emoji848]sjui hata n nn
🤣🤣🤣🤣 hamna lolote mzee na wala simteteiNaacha kwa heshima yako ila leo umemtetea ghafla.. au zile vitu amekuhaidi kukupa saa hii
[emoji23][emoji23]Sana pale Stone town Kila kitu ndio huanzia...Uje nikupeleke Chukwani mpaka Mombasa uione fahari huku ukiusikiliza wa mwambao si kila siku unasikiliza wa huko Busisi[emoji38]kile xhuo pale stome town chasaidia sana eti
Safii.. haya mpango wa zawadi..huko kwa fighter siendi..nipe location nije na dumu langu [emoji23][emoji23]Naona bday leo utasherehekea vilivyo [emoji23][emoji23][emoji23] kesi unazonipa unajua kabisa siwezi zitoka ushindi upo kwako sasa.
Ukiacha utani mzee toka jana kuna vitu vinanipasua sana kichwa alafu ni vyafamilia sasa nikitulia bado naviwaza tu [emoji17][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safii..ongeza oxygen zaidi
Maelezo sio sahihi hayo unayoyasema.Maelezo unayajua ww sipaswi kuyarudia
Unanifanya mimi kinda sio mzee.. wewe sema kama umeshapitishiwq ahadi hewa ili kumpa unafuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamna lolote mzee na wala simtetei
Pole sana fam ... vitu imposible sioUkiacha utani mzee toka jana kuna vitu vinanipasua sana kichwa alafu ni vyafamilia sasa nikitulia bado naviwaza tu [emoji17]
Kwani kuna tatizo mzee ukiwa upande wangu acha na simiss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamna lolote mzee na wala simtetei
Ngoja kesho kuna utapeli naenda kuufanya chanika tutaangalia kama kuna maajabu upate 500 ya vocha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safii.. haya mpango wa zawadi..huko kwa fighter siendi..nipe location nije na dumu langu [emoji23][emoji23]
We jamaa 🤣🤣🤣Hata gari likija kwa kasi wao huwa wanaona wana haki ya kutumia zaidi barabara..wabishi hadi kuvuka chap chap mwisho wa siku ni vifo tu
Ndio niko nimeanza kufix kuanzia leo yani leo nimeongea na simu utazani ni customer care wa mitandao ya simu.Pole sana fam ... vitu imposible sio
Humu wanatuma audi ss[emoji848]Some people live for a fortune
Some people live just for the fame
Some people live for the power
Some people live just to play the games
Some people think that the physical things
Defines whats within
By alicia keys
Ulitoa lyrics zake kama last week
[emoji23][emoji23][emoji23] ww unazani hii vita utaweza shinda kirahisi hivyo.Unanifanya mimi kinda sio mzee.. wewe sema kama umeshapitishiwq ahadi hewa ili kumpa unafuu [emoji23][emoji23]