Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Kama alikuahidi lazima atekeleze, komaa nae ahadi ni deni hadi akulipeHuyu mzee ni mtata sana alinipa ahadi ya kitu fulani naona jana kani badilika ghafla saiz ananiambia haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchongo mchongo eti dah simiss