simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
I prefer kuliita machete nashika vizUri sana
Unaeza shika panga kweli ww ..panga sio umma
I prefer kuliita machete nashika vizUri sana
[emoji23][emoji23][emoji23] Nipumzishe leo hizo zawadi tutazifungua kesho nasio huu usiku tena siunajua kukugeuzia kesi ni kawaida yangu.Dahhh Villa mapromise leo unaanza kuleta mapicha picha.. sema nn tutaelewana tu chimbo
Hapa pana namna si bure😂😂😂 mzee kazi 80% done.. wewe tu kujiongeza kwa kijumbe
Duh mtoto kazaliwa leo lakini mbishi kinoma. Super Villain hebu mfunze adabu avae nepi huyu.
Try me utajipa majibuUnaeza shika panga kweli ww ..panga sio umma
Naona unataka kucheza na akili yangu [emoji23][emoji23][emoji23] embu malizia hiyo puzzle basi mbona shughuli kumsukuma mlevi tu hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee kazi 80% done.. wewe tu kujiongeza kwa kijumbe
Huyu maneno matupu usimskiizeHilo nadhani litatimia vyema. Maana nakukubali sana kwa fitnah. Hushindwi kitu wewe 🤣🤣🤣
Nepi kwanza tukiona umeanza zile dalili ovu tunachoka la chuma halafu fungua tunatupa baharini ili ile ndoto yako itimie 🤣🤣🤣😂 sasa si nshakua mzee.. af nimekpa option nzuri..chupi la chuma ni kufuli tu linahitajika
Kuna maeneo yake ambayo huwa siyapingi akidhamiria huyu kiumbe.Huyu maneno matupu usimskiize
True mzee wangu..sema sikutaka kuharibu mood tu.. kuna mtu close kafiwa na grand wake wawili na kuna home moja yote imefungwa.. sema tueke pending hii issue kwanza kwa siku ingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anajua mwenye teyari nishaanda kikosi kazi kesho kazi kwake tu.Hilo nadhani litatimia vyema. Maana nakukubali sana kwa fitnah. Hushindwi kitu wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hamna kitu hapa mbona.Hapa pana namna si bure
Ahh wapi usinitishe[emoji23][emoji23][emoji23] Nipumzishe leo hizo zawadi tutazifungua kesho nasio huu usiku tena siunajua kukugeuzia kesi ni kawaida yangu.
Aminia. Ila usisahau evidence mzee mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anajua mwenye teyari nishaanda kikosi kazi kesho kazi kwake tu.
Hapa pana namna si bure
Uwe na usiku mwema dude.Napita tu makamanda [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Leo mapema lindo njema wakuu