Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Ah ila kasema muda wa daku sio karibuni daku bwana
Ah ila kasema muda wa daku sio karibuni daku bwana
Hiyo lugha itafsiri kama vile unafanya yoga utaielewa tu. Usitafsiri kavukavuAh ila kasema muda wa daku sio karibuni daku bwana
Mkuu asinzii mtu hapa hadi liamba
Mkuu kumbe ulikuwa umelala?
Leo umedumu sana hahaha
Amina
Shikamoo
Very goodMkuu asinzii mtu hapa hadi liamba