Kama nakuona ulivyokuwa unahesabu hadi sekunde00:00
Hivi sasa ni saa sita kamili usiku
![]()
Wanamgambo mko wapi? au bado mnajifukiza?
Usiache kuchanganya na ukwajuHahaa kujifukiza n muhimu mwamba mm nko na majani ya mpera hpaa
Barnes
Ndio nachemsha tangawizi na malimao ninyweHahaa kujifukiza n muhimu mwamba mm nko na majani ya mpera hpaa
Barnes
Tupo tu tumenyong'onyea na silaha zetu za jadi tukipambana na huyu aduiHabari zenu Sungusungu wa JF
adui naona anaenda kutupanda kichwa na dingi kama katutelekeza kiaina 😁😁😁Tupo tu tumenyong'onyea na silaha zetu za jadi tukipambana na huyu adui
😂😂😂😜
Wapi huko mkuu ???