simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
😂😂😂 mkuu Haifungiki huku ni kijiwe cha usiku kwa ajili ya sisi tuliopewa jukumu la kuangalia usalama wa raia na mali zao. Kule mida ya mchana hivi basi mambo burdani kabisa. Karibu sana mkuu.
Hiyo kona gani mimi sijawahi kukuona ama jukwaa pendwa invisible la watu special 😂😂

