NasikilizaWepesi sihisi mwasi, kuhisi ni wasi wasi
Hili ni letu unasi, uongo kusema mikosi.
Karibu mkuuNaona mmeshaamka na uzi wenu
Utakuwa nayo mkononiJazaq ifike salama eti mpaka alfajiri naimani nitakua nayo
Usikilize kwa makini, tena usikize hasaNasikiliza
uko sawa kabisaa,mh. VC yuko tait kidogo bt soon he'll back in action.Hajalala huyu anatafta naniii![]()
12:09
Yna2 nilikuwepo.
Heshima yako mh. Mwenyekiti.Karibu mkuu
Kama mchizi Super Villain haumwi basi newcomer anahusika kivyovyote vile au sio simiss ?Super Villain kwa nini umelala mapema.. jungu hili
Utakuwa nayo mkononi
Kwa pupa kuitia kinywani
Utaijaza pomoni
Utamuwe mpaka utosini.

maneno yameishaJapo ilikuwa ndotoni, hisia zikanasa.Nasikiliza
Namsubiri Super Villain aje kutoa ufafanuzi japo saa hii anakoroma
muite muite kabla hatujamlia radarIla unachokataa ni kipi hapo?Hapo sikatai