Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,542
Beanie Sigel
Yuko kwenye X-Man Uncanny.Yeye ndiyo master mind wa karibia kila ujinga wote mle ndani ya Marvel, sema yeye ni nyuma ya pazia tu.Mister Sinister is a fictional supervillain appearing in American comic books
Nitanuna hadi covid19 itakapoisha..nalala usiniquote.nakuja kukutonesha ili usilale![]()
Nipo siku zote braza, siku hizi nashinda sana humu kutoa stress za lockdown.![]()
Eee bwana eeeh hapa ndipo napo kukubali mdogo wangu. Huyu mwamba nilikuwa namsikiliza sana zamani. Uko broad sana..Beanie Sigel
Yuko kwenye X-Man Uncanny.Yeye ndiyo master mind wa karibia kila ujinga wote mle ndani ya Marvel, sema yeye ni nyuma ya pazia tu.
Ujasiri huo utaupata wapi wa kuninunia mpaka corona iisheNitanuna hadi covid19 itakapoisha..nalala usiniquote.




SawaHilo usiwaze kabisa limepita teyari.
This is one of the best songs, hebu sikiliza.
Njoo unikanyage uone.Ujasiri huo utaupata wapi wa kuninunia mpaka corona iishe![]()
Na Stan Lee?Yuko kwenye X-Man Uncanny.Yeye ndiyo master mind wa karibia kila ujinga wote mle ndani ya Marvel, sema yeye ni nyuma ya pazia tu.
Anavoice sexy kwahyo unaenda jisexisha na wwLindo limekaa kimapendo leo
Ngoja nimsikilize tony braxton kidogo maana hadi leo sijaona singer ana voice sexy kama yeye..
Spanish guitar
AlaaaLindo limekaa kimapendo leo
Ngoja nimsikilize tony braxton kidogo maana hadi leo sijaona singer ana voice sexy kama yeye..
Spanish guitar
Sawa
Lindo limekaa kimapendo leo 😊😊😊
Ngoja nimsikilize tony braxton kidogo maana hadi leo sijaona singer ana voice sexy kama yeye..
Spanish guitar
00:45hrs


Wote tushaambukizana hakuna hata mmoja alievaa mask wala kunawa.