Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
Yes, ni Fibonacci huyo 😂Hii ndo miguu ya mathematician
Mkuu hebu tohoa kidogo nikionaga hii lugha nalewa kama nimekunywa yokozuni.Si unajua tena walimu wangu waliugua mafua kwa hiyo walikuwa hawaji skuli
Mi naenda kulala...[emoji870][emoji870][emoji870]
Ana calculate nn muda huuYes, ni Fibonacci huyo [emoji23]
Wakiamua watakuganda mpaka uoeMie sioi, mnipitie mbali.
Kufa kwa hakika mtakufaKulala ni kuigiza kufa mzee.
Ina maana leo hulali hata tone? Au upo kwenye majukumu na utalala mchana?0415
Na hiyo ID ataibadili kimya kimya [emoji16][emoji16][emoji16]Wakiamua watakuganda mpaka uoe