Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Naona pamekucha nikilala nitapitiliza muda wa kuamkaIna maana leo hulali hata tone. Au upo kwenye majukumu na utalala mchana?
Naona pamekucha nikilala nitapitiliza muda wa kuamkaIna maana leo hulali hata tone. Au upo kwenye majukumu na utalala mchana?
Na hiyo ID ataibadili kimya kimya![]()


ipo siku hatutaipata hiiKuna mchezo unaitwa Hare and Tortoise ni mchezo wa kukimbizana ndio nacheza nae hapa movement zake zinafuata Sequence zake mwenyewe FibonacciAna calculate nn muda huu
Ulikuwa kwa mkesha?Hapa
Hadi asubuhiUlikuwa kwa mkesha?
Hope umeliombea taifa.Hadi asubuhi
Kwa kumaanisha kabisaHope umeliombea taifa.
Amen.Kwa kumaanisha kabisa
Muda bado.Nipo ....
Una uhakika mzee ?Muda bado.
Never regret anything that made you smile .

Pole kwa uliyopitiaI regret to My Ex girlfriend![]()