JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuwa lindo kuna faida kuu nyingi,mojawapo ni pale adui kifo anapokuja kukutembelea, ukiwa lindo ni rahisi kupambana naye kwa mangumi,mateke na silaha mlizonazo. Ila kwa wale ambao wako usingizini ni rahisi kuzidiwa kwa sababu wanakuwa hawajajiandaa kwa mapambano.
 
Back
Top Bottom