Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Kuna MTU anazima data???Wanaume wengi mko na uvivu kwenye kuzima data...au ndio mnamaGB mengi...
Kuna MTU anazima data???Wanaume wengi mko na uvivu kwenye kuzima data...au ndio mnamaGB mengi...
Haya amka uliombee TaifaBado niko mbali na nyumbani.
Mama Mtumishi, nimeshamaliza mie, nilikua niko kwenye Maombi na Starter FM radio alikua hewani Mwakasege, then nikahamia Upendo FM na sasa niko Safina Radio. Nimekuombea pia.Haya amka uliombee Taifa
Mimi hapa ni mzimaji mkuu nahisi, kama hapa sahii nikitaka kulala nazima naweka simu huko nalala...Kuna MTU anazima data???
Karibu ungana nasiHaya amka uliombee Taifa
Si bora uzime Kabisa simu tu??Mimi hapa ni mzimaji mkuu nahisi, kama hapa sahii nikitaka kulala nazima naweka simu huko nalala...
GB 10 zile nazima vizuri, kitu ambacho sizimi ni WiFi.
Kitu ambacho siwezi ni kuzima Simu...Si bora uzime Kabisa simu tu??
Duh ndio mnatusumbuaga tukiwa kwenye Maombi nyieKitu ambacho siwezi ni kuzima Simu...
Ahsante Baba Mtumishi...Safina nawasikilizaga ila sio Mara kwa Mara. Me yangu Radio MariaMama Mtumishi, nimeshamaliza mie, nilikua niko kwenye Maombi na Starter FM radio alikua hewani Mwakasege, then nikahamia Upendo FM na sasa niko Safina Radio. Nimekuombea pia.
Yote heri!Ahsante Baba Mtumishi...Safina nawasikilizaga ila sio Mara kwa Mara. Me yangu Radio Maria
Uwe unajaribu ladha nyingine pia! Umezoea vipokeo?? Una konyagi hapo?Ahsante Baba Mtumishi...Safina nawasikilizaga ila sio Mara kwa Mara. Me yangu Radio Maria
HahaDuh ndio mnatusumbuaga tukiwa kwenye Maombi nyie
Nimekushindwa. Narudi zanguHaha
Ratiba za ibada nazijua kuanzia wakatoliki. KKKT, wasabato na TAG so siwezi kumpigia mtu mida hiyo. Labda uwe na maombi binafsi.