Jiandae uende jumuiyaNarudi kufanya usafi na kufunga lindo
Oh! Kazi ipo...
Siwezi kutoka ushauri wakati hamjanijibu....Unataka kutoa ushauri gani?
Haha
Usilale mkuu, malizia lindoNalala
Na wewe kalale mkuuNawe lala sasa mrembo.
Siwezi kutoka ushauri wakati hamjanijibu....
Wanaume wengi mko na uvivu kwenye kuzima data...au ndio mnamaGB mengi...
Bado niko mbali na nyumbani.Jiandae uende jumuiya
Ila we Smart wewe....
Hakika mkuu wangu ila nimewahi kuangalia orodha ya wliopo lindoni na kuangalia usalama wa lindo kabla halijafungwa