Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
😀😀😀🙏Haha hiyo inatengeneza mazingira tu, Ila kuna m-bembelezo ukiambatana na hii mvua you will feel like flying in high realms 😊😊
😀😀😀🙏Haha hiyo inatengeneza mazingira tu, Ila kuna m-bembelezo ukiambatana na hii mvua you will feel like flying in high realms 😊😊
Kama Mr President anavyosema kila mtu kwa dini yake na imani yake afanye maombi hali sio nzuri.Mungu aingilie kati kwakweli
Huo muda mimi nitakua naikwepa corona kwa kweli. Sitoenda huko njeNadhani asubuhi kutakuwa na mafuriko hayo maeneo tajwa. Mji wetu umekaa vibaya when it comes to heavy rainfalls
Kinachopikwa nasusa..sidhani Kama Ni kizuri kwangu..hakinifai kipindi hikiKile kikipikwa unasusaNdio kizuri eti?
Dah...Bonne nuit monsieurs, madame et madomoiselle!
Il est quatre heure moins le deuze
03:48
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"

Poa baadae.Good night guys,
Hata sielewi ni night saiz au ni nn maana hiki kichwa ni mzigo kweli.
Huku madongo kuinama
Oya mi mwanaume wewe, mbona unaniita belle (beautiful/pretty)?
Nawe lala sasa mrembo.Poa baadae.
NalalaNawe lala sasa mrembo.
Unaenda wapi?Good night guys,
Hata sielewi ni night saiz au ni nn maana hiki kichwa ni mzigo kweli.
Uje na tiba mkuuHaya mapopo wenzangu tunaoisindikiza mvua na smartphones zetu vitandani nami Sina budi kuwaaga.
Sio kama nalala bali muda wakuconcentrate katika kitu kingine.