Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Umeona eeh..........maana wanaume wenyewe wa humu wote walikuwa wamelala fofofoBora hata maana tungevamiwa, si jambo jema kulala geti wazi
Umeona eeh..........maana wanaume wenyewe wa humu wote walikuwa wamelala fofofoBora hata maana tungevamiwa, si jambo jema kulala geti wazi

Umeona eeh..........maana wanaume wenyewe wa humu wote walikuwa wamelala fofofo
kukuonaNiliishtukia hiyo janja ya nyani

Sina cha kueleza kwa furaha ya kukuonaAsante kwa kunimiss mwaya, soi kama Nleterewa Nganengo aliyefurahia kutokuwepo kwangu...........
We popo.............ndo maana siku ile mkatuachia geti wazi; wewe na mwenzio Kichwa Kichafu

Karibu uwanjani............kukuona
Na sikumbuki nini kilitokeaHebu muulize walienda wapi?
Na kwanini waondoke paap kwa pamoja wakaacha geti wazi? (Mimi sijauliza kitu)![]()
![]()
Hilo swali atalijibu Kichwa Kichafu,maana bibie anadai hakumbuki kabisa kilichotokea...........alijikuta tu kalala fofofo

Jirani umerudi nije kukusalimia??
Wewe hapoNani huyo![]()
![]()
![]()
Asante japo napitaKaribu uwanjani............
Anza kumhoji Kichwa Kichafu kajileta leo![]()
![]()
Bibie huu uchochezi sasa![]()
![]()
Niko hapa bibie, sema Leo naona bawaba za macho zimelegea sana
