JamiiForums Usiku wa manane
Asante kwa kunimiss mwaya, soi kama Nleterewa Nganengo aliyefurahia kutokuwepo kwangu...........

Sema we hujui tu, me nimekumisi mpaka nikatamani na mimi nijiteke nije huko ununio tuungane, sema nikaanza kusali na kuvaa magunia hatimae umerejea karibu bibie upooze koo kwanza
 
Hilo swali atalijibu Kichwa Kichafu,maana bibie anadai hakumbuki kabisa kilichotokea...........alijikuta tu kalala fofofo
Hahaha na yeye anahitajika kutoa maelezo nini kilichomfanya ajikute kalala fofofo na wapi alipoamkia fofofo ilipoisha
 
Back
Top Bottom