JamiiForums Usiku wa manane
Huyu ndugu yetu sasa anahitaji msaada wa haraka........ina maana hajasikia wimbo wa chibu kuwa kupiga chabo ni zilipendwa?
Hahaha hawa jirani jirani wajanja sana, lazima watakua walipeana assist ya kusafiri pamoja sio Bure, haiwezekani upige chabo la mbali namna hiyo kuna kitu hapa
 
Back
Top Bottom