Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
kausha babu ww panda gari lolote utakapofika ndo hapo![]()
hilo usiwaze watapajuaje maskani bila kujanao sasa?
kausha babu ww panda gari lolote utakapofika ndo hapo![]()
hilo usiwaze watapajuaje maskani bila kujanao sasa?
habari za kwenda kisutu sizitaki mm saiz 😌Nshatulia kule.. toa full info sasa mzee
Af nawaachia lindo..
🤣 🤣 🤣 basi mrembo uyuda umeishia sasa.kausha babu ww panda gari lolote utakapofika ndo hapo
Bibie mzito sana kuamka.. Unazingua sana.kausha babu ww panda gari lolote utakapofika ndo hapo
0536 macho nimechelewa mnoooBibie mzito sana kuamka.. Unazingua sana.
0536 macho nimechelewa mnooo
KheriLeo nitakuamsha mapema zaidi.
Ukalale tu ila nmekuona chef wa jiko letuNshatulia kule.. toa full info sasa mzee
Af nawaachia lindo..
Ahsante, naipenda sana kazi yangu.Kheri
Iwe salama
Hapo ondoa shaka halitatokea hilo kama kazi itafanyika sawiaAhsante, naipenda sana kazi yangu.
Ila usiwe unachelewesha ujira wangu
Ukalale tu ila nmekuona chef wa jiko letu
Ila mpaka sasa kazi unaionaje ? Vipi naiweza au?Hapo ondoa shaka halitatokea hilo kama kazi itafanyika sawia
Nawasalimu, napita zangu kwenda kuwanga.
Eeh ww si ushakua miyeyusho kama dude, mikunjo miingiSwadaktaaaa UMENIONA![]()
Ah leo ndo nitajua ss kazi waiweza au tia maji tia maji kama janaIla mpaka sasa kazi unaionaje ? Vipi naiweza au?
Eeh ww si ushakua miyeyusho kama dude, mikunjo miingi
Bila shaka utakuja kusimulia tu, ngoja uone.Ah leo ndo nitajua ss kazi waiweza au tia maji tia maji kama jana
Walahi nimeyakanyaga.. leo mwenywwe nipo kama na corona.. Super Villain njoo ununue kesi huku broder maana hali yangu waijua
unamuita huyo maneno 70 wannNasubiri na hamu zote sio kwa hamu zoteBila shaka utakuja kusimulia tu, ngoja uone.