Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
kwani akisema atadharaulika? jiamini mzee au biashara haramu kitu kinachokuingizia pesa mtu hakiwezidhalauliwa level ya maisha hatufanani.Swali gani hili mzee
kwani akisema atadharaulika? jiamini mzee au biashara haramu kitu kinachokuingizia pesa mtu hakiwezidhalauliwa level ya maisha hatufanani.Swali gani hili mzee
hatimaye umeachiwa kutoka karantini 🤣 🤣
Ncha Kali ulitafasiri vibaya mzee 😌 Roho Mbaya pole sana mzee
sio alcohol mzee unaweza kunywa hata sanitizer pia.😀😀😀😀 karantini ya wapi mzee.. saa hii ni mwendo wa juice ya malimao na tangawizi
ngoja tuache haya mambo.Acha kukechi mafilingz mob
Uje nayo na ww ukiwemonitakuitia ile ambulance ya wizara usijali
sio alcohol mzee unaweza kunywa hata sanitizer pia.
🤣 🤣 hilo usiwaze watapajuaje maskani bila kujanao sasa?Uje nayo na ww ukiwemo
🤣🤣🤣 msije mkaleta ugonjwa mwengine hapa kwa kunywa hiyo kitu maana corona ni ulaji wa popo.Tunadaka kila info.. na km sanitizer ikiidhinishwa mbona fresh
🤣🤣🤣 msije mkaleta ugonjwa mwengine hapa kwa kunywa hiyo kitu maana corona ni ulaji wa popo.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 haya mambo yanafurahisha na kuhuzunisha pia.Kuna wajinga walisema nyama kala mchina af tunanawa dunia nzima 😁
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 haya mambo yanafurahisha na kuhuzunisha pia.
eeh siku yenyewe ni kusalitiana tu leo na mm nitawasaliti wangu leo.Acha tu mzee
Ngoja tu tuiage ijumaa kuu pengine mwenye mbingu atatuhurumia
eeh siku yenyewe ni kusalitiana tu leo na mm nitawasaliti wangu leo.
Nishakujibu acha uwoga ww 🤣 🤣 🤣Ushachelewa.. yuda kashamaliza mission 😊😊
Af rudi chimbo maana saa hii tu naangusha gari
Nishakujibu acha uwoga ww 🤣 🤣 🤣
basi tulia nikupe pumbaa 🤣 🤣 🤣 🤣Sio uoga bro ,nimejieka close nipate madini ..😂😂😂
Af nachomoka si muda mrefu yaani
basi tulia nikupe pumbaa 🤣 🤣 🤣 🤣