Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Hongera sana, Lindo limeshafungwaSorry washkaji nilijikuja lindo nalikimbia live kutokana na kale kakifo ka muda anyway shusheni nondoz tuchukuwe maexperience hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujafika ila dude akija niiteBado walinzi hamjafika?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Saa za wezi ni kuanzia saa kumi sbr kdg.Bado walinzi hamjafika?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
tulia muda bado we mzeeBado walinzi hamjafika?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
🙄Hatujafika ila dude akija niite
Dudeeeee
😌 karantini panakuita wwDudeeeee
Najipeleka kesho mapema sanakarantini panakuita ww
kwasababu ni London boy angekuwa ni American boy angekuwa kwenye A list ni underrated Actor.Scott hua anabonda kinoma sijui ni kwanini sio A-Rated star.
nitakuitia ile ambulance ya wizara usijaliNajipeleka kesho mapema sana
Biashara gani mzee wangu unafanya usiku wasaiz?
hatimaye umeachiwa kutoka karantini 🤣 🤣Kwani kunani humu
Biashara gani mzee wangu unafanya usiku wasaiz?
Dah...tangawizi, kahawa na alkasus...karibu shule ya Uhuru round aboutBiashara gani mzee wangu unafanya usiku wasaiz?
