Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
How are you doing?
Naona pia kuna hali ya hewa nzuriNiko salama, joto Bongo limepungua.
Ooh ni kweli , ni kumuachia tu Mungu na kuamini atatupigania katika hili .Yes, corona tu ndiyo inaharibu maisha.
Tunaishi bila kujua tunaishije ishije.
Hauko peke yko mkuu mm mwenyewe ndio hivyo hivyo [emoji3][emoji3]Siji fanya ujinga wa kula tambi usiku. Njaa inauma kinoma.
😂😂😂😂Siji fanya ujinga wa kula tambi usiku. Njaa inauma kinoma.