Nandinii
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 2,572
- 2,821
Tulale mdogo wangu
Salama Kaka .wakati tukiendelea kujifua na kujiandaa kwa kukesha,, kwanza niwasalimu woote
salama humu ndani....?..
pia tunaweza kupitia hapo chini kwaajili ya kujiunga na hii bet bomba
PARIMATCH
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ,hebu lala Dogo utaotaJambo gani
Karibu lindoniMimi ndo nimeamka.
PmKaribu lindoni
PM yangu imejaa...ikipata nafasi nitakujulisha..
Ndio, njoo tukumbukie tukio la genocide ,now ni mipaka 26 sasa ,siku km ya Leo kilinuka Rwandamtu chake na mimi nikalale?