carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Thad popote ulipo nimekumiss huku.Hahaha mkuu tokea nikatae kumnunulia bia, na wewe ukampa offer ya wine mpaka leo sijamwona![]()
tafadhali mrudishe
![]()
![]()
Wakili upo upande upi wa jirani yangu?Majirani wazima taa
Cc:kijana yule wa siti ya kwanza![]()
![]()
![]()
Hii kesi imeisha tayari maana ushahidi upo wazi kabisa kuwa nyie ni majirani wapenziWakili upo upande upi wa jirani yangu?
Kwani ukioa lazima kuwahi kulala??Ha ha ha tuendelee na ndoto...sasa unasubiri nini hadi Leo haujaoa/ kuolewa?
majirani

Kipenzi mbona unakimbiaBasi kesi imeisha
Haya mlale salama majirani wapenzi
Hahaha nimetafuta hata nusu ya jambo zuri sijaona. Hebu mwulize amempeleka wap Bundi Thad mpaka leo haonekani![]()




Huyo unaeongea nae ndiye
Hii kesi haijaisha, itahairishwa kwa muda kupisha uchunguzi yakinifu.Basi kesi imeisha
Haya mlale salama majirani wapenzi
Kesi imefutwa haina walalamikajiHii kesi imeisha tayari maana ushahidi upo wazi kabisa kuwa nyie ni majirani wapenzi
Kesho nataka malipo yangu
Usiku mwema
Hizo tuhuma si za kweli ila Thad ndio anajua vizuri
Jirani yangu embu jibu hilo swali
MondNdiyo Iceman?
Hahahaha mkuu si yupo karibu hapo we mwambie ajitokeze tu, au mpaka leo hangover bado haijaisha

Oooh okay nimeonaa.Mond
Hii kesi imeisha tayari maana ushahidi upo wazi kabisa kuwa nyie ni majirani wapenzi
Kesho nataka malipo yangu
Usiku mwema





Ndio maana kakimbia tena huyo mondrayOooh okay nimeonaa.