carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Inasemekana nyie ni majirani wapenziAlikuwa nayo zamani tukamuweka kikaangoni akaacha sasa naona karudia upya, that's my jirani I can't believe this anymore


Inasemekana nyie ni majirani wapenziAlikuwa nayo zamani tukamuweka kikaangoni akaacha sasa naona karudia upya, that's my jirani I can't believe this anymore


Kwahiyo unakubali nyie ni majorani wapenzi??Nahisi hamna kosa kesi imefutwa![]()
![]()
![]()
Mbona nami naota huku itakuwa tunashare ndoto.Hahahaha sababu ni upweke, naota tuu boss

Yani hadi hapa kesi imeisha,hawana cha kubisha hawaLeo hatuairishi kesi watuhumiwa wote wapo na mashahidi wapo, tena ushahidi usio na shaka.![]()
OhoooNimeanza kuelewa![]()
Ifutwe tu hamna mlalamikaji

ushahidi unaonyesha nyie ni......

Hahaha mkuu tokea nikatae kumnunulia bia, na wewe ukampa offer ya wine mpaka leo sijamwonaThad wapi mkuu
tafadhali mrudishe

Majirani wazima taaHebu yafunike hayo macho yabgu kwenye avatar![]()




Ha ha ha tuendelee na ndoto...sasa unasubiri nini hadi Leo haujaoa/ kuolewa?Mbona nami naota huku itakuwa tunashare ndoto.![]()
Kapotea kabisa huwa anakuja late mno kugonga likes tuuMara paaaap nikatokea.
Asante dear kwa kujali.
Jamani kumbe ML naye kapotea..


Yaan anavituko huyo basi tuu.Nashukuru jirani ujirani huu hauna kikomo.
Naona huwa unatafuta mabaya ya jirani yangu tuu, mazuri yake huyaoni kabisa, wewe hufai aiseeh
Leo akija kugonga like atanikut hapa.Kapotea kabisa huwa anakuja late mno kugonga likes tuuYaan anavituko huyo basi tuu.
Neybright ni jirani yangu muhimuKwahiyo unakubali nyie ni majorani wapenzi??
Hahaha nimetafuta hata nusu ya jambo zuri sijaona. Hebu mwulize amempeleka wap Bundi Thad mpaka leo haonekani
Naona huwa unatafuta mabaya ya jirani yangu tuu, mazuri yake huyaoni kabisa, wewe hufai aiseeh

Popo lazima uwe na macho kama hayo bila hivyo utakiwi humuKK sura yako inanitisha naomba uitoe pulizii
Nani kaleta ushahidiushahidi unaonyesha nyie ni......
![]()
![]()
![]()