carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Sasa wasiwasi unatoka wapiKila siku nakuamini na nitaendelea kukuamini.
Sasa wasiwasi unatoka wapiKila siku nakuamini na nitaendelea kukuamini.
Asante sana popo mate .HA! HA! HA!
Pole sana ila karibu tena popo sugu
Macho haya macho hivi huoni hapo chabo nitavyokupigaKwahiyo umempiga chabo bafuni,tena usiku
Hii tabia umeanza lini dogo
Poa dear, nimejiuliza sana uko wapi mbona hutokei lindoni na Manga nae akapotea basi ikabidi niwe mpole tuu. Hatimaye leo paapKwema Ney, mzima weye my dear?
Mimi sina kosa linalonikabili.Ita walalamikaji wote,wakili wake nipo![]()

Ohoooh nilikua natafuta ushahidi Mara paap huu apaJirani jirani kumbe mwazima taa
![]()
![]()
![]()
Macho haya macho hivi huoni hapo chabo nitavyokupiga
Nimeanza kuelewaJirani nimemchungulia kwake naona anaoga



Thad wapi mkuuOhoooh nilikua natafuta ushahidi Mara paap huu apaJirani jirani kumbe mwazima taa
![]()
![]()
![]()
Hii kesi inakaribia kuishaMimi sina kosa linalonikabili.![]()
![]()
Labda nani mtuhumiwa![]()
Umeondoka kipenzSasa wasiwasi unatoka wapi
Alikuwa nayo zamani tukamuweka kikaangoni akaacha sasa naona karudia upya, that's my jirani I can't believe this anymoreKwahiyo umempiga chabo bafuni,tena usiku
Hii tabia umeanza lini dogo
Mi huwa najikuta tu huku sijui tatizoAsante sana popo mate .
Vipi lakini kulikoni,?
Hamna usingizi?

Mara paaaap nikatokea.Poa dear, nimejiuliza sana uko wapi mbona hutokei lindoni na Manga nae akapotea basi ikabidi niwe mpole tuu. Hatimaye leo paap
Ahahahaaaaaa haya mamaIta walalamikaji wote,wakili wake nipo![]()
Nahisi hamna kosa kesi imefutwaYeye ndo no2
Hii kesi nzuri sana

Hahahaha sababu ni upweke, naota tuu bossMi huwa najikuta tu huku sijui tatizo![]()
Leo hatuairishi kesi watuhumiwa wote wapo na mashahidi wapo, tena ushahidi usio na shaka.Yeye ndo no2
Hii kesi nzuri sana

Ifutwe tu hamna mlalamikajiHii kesi inakaribia kuisha
Ohoooh nilikua natafuta ushahidi Mara paap huu apaJirani jirani kumbe mwazima taa
![]()
![]()
![]()




Hebu yafunike hayo macho yabgu kwenye avatarAlikuwa nayo zamani tukamuweka kikaangoni akaacha sasa naona karudia upya, that's my jirani I can't believe this anymore
