Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
she got that lovely voice acha kabisa
Hii nyimbo ni ya mapenzi nayosikiliza jaribu kusikiliza kidogo uwone [emoji91]anhaa kumbe huu siyo wa mapenzi!
wapi babe nikujee?
Wapi hii?
Simi namuelewa sanaAf anatunga vibaya mno .. kuna manzi alinitambulisha nyimbo zake nyingi so hata nkimskiiza simi bado huwa namkumbuka
Achana na huyu simi ni balaa tupu [emoji91]
napenda nyimbo zenye vibes...Hii nyimbo ni ya mapenzi nayosikiliza jaribu kusikiliza kidogo uwone [emoji91]
Wacha we [emoji91] yaan ukimuona simi na kumsikia unamkumbuka tu?Af anatunga vibaya mno .. kuna manzi alinitambulisha nyimbo zake nyingi so hata nkimskiiza simi bado huwa namkumbuka
Simi namuelewa sana
[emoji23][emoji23][emoji23] Jericho mm ndio simi alinikomesha kabisa nilinyoosha mikono juu nikatubu nikasema huyu mwanamke sio [emoji91]Siku hizi nshakuwa mnaija naimba hadi lyrics zake [emoji23][emoji23]
Wacha we [emoji91] yaan ukimuona simi na kumsikia unamkumbuka tu?
Vp available na everyday huzipendi?napenda nyimbo zenye vibes...
this kind love
Jerusalem
such different
particular
etc....
Alionesha uwezo wa upande mwingine pale af ikawa hit song[emoji23][emoji23][emoji23] Jericho mm ndio simi alinikomesha kabisa nilinyoosha mikono juu nikatubu nikasema huyu mwanamke sio [emoji91]
Particular sio yake.napenda nyimbo zenye vibes...
this kind love
Jerusalem
such different
particular
etc....
Smile for meMimi naikubali Ayo.. vipi wewe
Mmmh hatuelewani hata.Particular sio yake.
Aah embu fungu uzi basi chapisha hiyo makala jukwaani hapa mapema [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] inasound kijinga ila watu wengi huwa nawakumbuka kirahisi kutokana na nyimbo ..af alikuwa shemela kima ww [emoji23]
Lyrics za hii songs.. utakuwa love sick wewe [emoji4][emoji4]Smile for me