Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Haamini huyu jamaaHiyo imekaa poa zaidi japo inawezekana hata kukaa moro ni sound.. unaeza kuta jamaa ni wa kinondoni tu
Halafu hatoi mrejeshi hadi umkumbushe. Unaweza jua anapamba kumbe amelala
ha ha ha mkuu unaweza kuwa bize na lindo,huku nyuma mgambo mmoja akaniovatekiTupo mr... karibu hili lindo na hakikisha upo mbali na ule mchepuko daraja la kwanza maana utakimbia lindo
Inawezekana japo inabidi tumuone akiwa ametupia suti zake za yellow
Kwani kigezo ni kuvaa suti ya marangirangiwe gorofani huwezi kwenda pale![]()

Aah haya nikane tu

sio kwa kutusukuma kishujaa lakini na bhasi hii iwe ahadi uya ukweli
Najua wazee wa suti huwa mnapenda sana live band, tutakwenda kambarage au pale terminal pub
Sent using Jamii Forums mobile app


simiss ndio mzee wa ngwasuma mm hizo sio vitu vyangu kabisa.Hahaaaa kuwa na amani mkuu.. mchepuko si wa kuuonea wivu sanaha ha ha mkuu unaweza kuwa bize na lindo,huku nyuma mgambo mmoja akaniovateki
Mnachungulia mnakimbia...Aaah baba michepuko kwani sisi ni majini?!
Narudi kulala ingawa naona usingizi wenyewe waja kwa kunyataUnakwenda viwanja kumalizia mwisho wa wiki?
Atakuwa kashaelewa
TupoMnachungulia mnakimbia...
Hiyo imekaa poa zaidi japo inawezekana hata kukaa moro ni sound.. unaeza kuta jamaa ni wa kinondoni tu



Kino sio kwetu kwetu Mnazi.Sisi tutaendelea na wewe ndugu yetu bila tatizoUndugu hauvunjwi.. tutakomaa na ww hadi upunguze fix![]()