Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Hawezi kuwa nayo.Naomba evidence jaman
Hawezi kuwa nayo.Naomba evidence jaman
Alikuja na ungo wa bibiake usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lkn hukuwahi nambia km alikuja kuchukua.. mimi nimejuaje [emoji16]
Si unajiamini maana ulifanya intro pm af vitu zingine ukamalizia private chat ya telegram [emoji4][emoji4]Hawezi kuwa nayo.
Hahaha! Alinipa matumaini makubwa mno tena na nyongeza juu. Nikaacha kufanya jitihadi. Lakini nikaona jamaa kanyuti hadi kesho kutwa bado nasubiri.
Njoo mwanangu tupige story[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Oya kwani mnanidai figo wazee
[emoji23][emoji23][emoji23] goddess wewe sio wa kunifanyia hivi..najua kashatumia FIX zake KukuFIX PMAlikuja na ungo wa bibiake usiku[emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee ulitaka unipeleke kisutu ujue.Hahaha!! Unakosaje connection mjini? Vitu vidogo vidogo vinakushindaje na wewe ni unadai ni alwatani isee
Tulia mzee mbona leo kama haupo sawa au unaona raia hatueleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Oya kwani mnanidai figo wazee
Kwani wewe ndio muhusika wa ile action babu?We mzee ulitaka unipeleke kisutu ujue.
Tumuache bana asije kukimbia hapa ilhali kitanda chenyewe kishakitia majiTulia mzee mbona leo kama haupo sawa au unaona raia hatueleweki [emoji23][emoji23]
My PM is clean dear mm najua villain ni hatar kwa fix ila hajanifix[emoji23][emoji23][emoji23] goddess wewe sio wa kunifanyia hivi..najua kashatumia FIX zake KukuFIX PM
Telegram tena dah leo kila kitu napakaziwa Goddess usimuamini huyu ujue.Si unajiamini maana ulifanya intro pm af vitu zingine ukamalizia private chat ya telegram [emoji4][emoji4]
Hapo usichukulie poa..komaa nae huyu hadi kielewekeHahaha! Alinipa matumaini makubwa mno tena na nyongeza juu. Nikaacha kufanya jitihadi. Lakini nikaona jamaa kanyuti hadi kesho kutwa bado nasubiri.
Aaah baba michepuko kwani sisi ni majini?!lindo halina watu,shida ni nini?
Huyu jamaa kumbe anafahamuka kwa fix. Duh! Afadhali sasa nimejuaMy PM is clean dear mm najua villain ni hatar kwa fix ila hajanifix