Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Anatuchonganisha huyu ujue Goddess[emoji23][emoji23][emoji23] goddess wewe sio wa kunifanyia hivi..najua kashatumia FIX zake KukuFIX PM
Anatuchonganisha huyu ujue Goddess[emoji23][emoji23][emoji23] goddess wewe sio wa kunifanyia hivi..najua kashatumia FIX zake KukuFIX PM
Kweli moyo wangu upo at easy now maana villa yupo njemaMy PM is clean dear mm najua villain ni hatar kwa fix ila hajanifix
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa kumbe anafahamuka kwa fix. Duh! Afadhali sasa nimejua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana ila mkua wa mkoa alishatoaga onyo mapema sana.Kwani wewe ndio muhusika wa ile action babu?
Kwa sababu Goddess kathibitisha pasina shaka kuwa Super Villain ni mzee wa fix aliyebobea, basi nimeamua kunyuti tu.Hapo usichukulie poa..komaa nae huyu hadi kieleweke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usiwasikilize hawa wavulagizi ujue.My PM is clean dear mm najua villain ni hatar kwa fix ila hajanifix
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana use sweet words ila hakosi defence mechanismHuyu jamaa kumbe anafahamuka kwa fix. Duh! Afadhali sasa nimejua
Wewe woga wako ndio umaskini wako. WhatsApp siku zote hainaga madhara labda ufanye kama walivyofanya wale jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana ila mkua wa mkoa alishatoaga onyo mapema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] yy anajua kazi ilivyo kuwa ngumuHapo usichukulie poa..komaa nae huyu hadi kieleweke
[emoji23][emoji23] anaelewa nini anafanya ndo maana alitumia telegram[emoji23][emoji23][emoji23] ww utakua na chembe za utapeli
Maana kila kitu ni ww tu
Unajulikana sana mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usiwasikilize hawa wavulagizi ujue.
Hakuna ugumu wowote. Woga wako ndio umefanya kazi iwe ngumu. Full visingizio.[emoji23][emoji23][emoji23] yy anajua kazi ilivyo kuwa ngumu
Tupo mr... karibu hili lindo na hakikisha upo mbali na ule mchepuko daraja la kwanza maana utakimbia lindolindo halina watu,shida ni nini?
Alafu nashangaa haya malalamiko ni hawa watu wa 2 tu [emoji23][emoji23][emoji23] hii vita ilianza toka jana ujue.[emoji23][emoji23][emoji23] ww utakua na chembe za utapeli
Maana kila kitu ni ww tu
Hahaha msameheni tu bwana[emoji23]Kweli moyo wangu upo at easy now maana villa yupo njema
Yupo smart hataki kuacha alama yoyote pale anapoharibu[emoji23][emoji23] anaelewa nini anafanya ndo maana alitumia telegram