Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji7][emoji7][emoji7]Hahaha msameheni tu bwana[emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7]Hahaha msameheni tu bwana[emoji23]
Wanataka tugombane hao [emoji23][emoji23][emoji23]Usijiteteee sana jirani[emoji23]
Ila na we upunguze fix[emoji23][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndo ndugu yetu tutafanyaje sasa gody... akipatwa na shida tutajitokeza maana tusijelaumiwa kwa kumtelekezaUwiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku akizolewa korokoroni mumsaidie jaman
Muonye kabisaIla na we upunguze fix[emoji23]
Ewaaaaa huyu hapa tutamdaka tu [emoji23][emoji23]kama vipi huyu mtegeni kwa chakula tu
Atapiga kazi
Utatukuta hapa hapa
[emoji6][emoji6]Wanataka tugombane hao [emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani ni impossible acha vita iendelee tu kama vp [emoji23][emoji23][emoji23]Wape ulichowaahidi wataacha vita
Uniamshe
Nina mpango nikija tumuite tumpeleke viwanja vyake vikubwa hapo Moro akale bata hadi majogooEwaaaaa huyu hapa tutamdaka tu [emoji23]
Unaona Super Villain ushaharibu kazi ..Hiyo kazi siitaki tena maana isha expire. Ila nimejifunza kitu.
[emoji23]atatolewa na vibaoNdo ndugu yetu tutafanyaje sasa gody... akipatwa na shida tutajitokeza maana tusijelaumiwa kwa kumtelekeza
Nishamuonya kwa herufi ndogo si muda nitampa vya herufi kubwaMuonye kabisa
Sihitaji tena mzee 🙌🙌Haiwezekani ni impossible acha vita iendelee tu kama vp [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹😹Nishamuonya kwa herufi ndogo si muda nitampa vya herufi kubwa