JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tena katoka tu huko akapiga na picha kunidorishia pm na caption ya "kupendwa raha" hadi nkasema nimemkosea nini Mungu mm [emoji23]
Embu naomba huo ushahidi please [emoji4] dah ujue we na mwenzio mnacho nifanyia siku hizi mbili dah.
 
Usimsikilize huyu mchonganishi anataka kutuvuruga tu [emoji23] mm na ww hatuwezi gombana kwanza.
Siku ingine utaacha kuniumiza roho na zile picha PM [emoji23]

Af Goddess huyu jombaa mpige ban kwanza maana alinambia mm natumia public transport so siwezi kuonana na ww maana unaogopa corona
 
Goddess huyu hukumpa hiyo kitu na km ulimpa nilijuaje km hakunidorishia pm [emoji4][emoji4]

Tena si ulisema ni nzito nzito yaani kitu flani amazing cha kulia kitu special.. sio ww [emoji4][emoji4]
Aww ni nani kwani huyo anayezungumziwa hapa [emoji41]
 
Siku ingine utaacha kuniumiza roho na zile picha PM [emoji23]

Af Goddess huyu jombaa mpige ban kwanza maana alinambia mm natumia public transport so siwezi kuonana na ww maana unaogopa corona
Dah leo kweli umenikaanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyote ni vya uwongo ujue Goddess anatunga ujue huyu.
 
Back
Top Bottom