JamiiForums Usiku wa manane
Dah alafu nilikusahau kukutag kuna mwananchi leo alifungua uzi wa mabachelor akawa ametoa offer ya mchumba kwa bachelor yeyote nazani ingekufaa sana hii offer Chibudee
 
Basi wewe hujui Kumbe kuna Mawakiii Kama wote jombiii Anatuma hio Ten ana tongozwa na Papuchi na Bado Anashindwa jiongeza

Anabaki kucheka cheka Kikuda
Aah wapi karne hii ukichukua namba tu ukituma na buku 2 ya maongezi unatongozwa na mchumba mwenyewe kesho kutwa unatoa misimbazi kadhaa mnatafutana kazi imekwisha kila mtu anakufa kivyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom