Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Haaaha bora mmekuja pako kimya kinoma humuTumekumiss pia, karbu Goddess
Haaaha bora mmekuja pako kimya kinoma humuTumekumiss pia, karbu Goddess
Salama aisee ni mudaMissed you too girl!.
Za kwako?
Kwa wale tuliopo Dar labda sababu ya kimvua hiki....si unajua tena mambo ya mvuaHaaaha bora mmekuja pako kimya kinoma humu
Sawa mkuu habari ya Ngara?ni full
huko ngara napasikia tuhSawa mkuu habari ya Ngara?
Ok nikajua uko pande hizohuko ngara napasikia tuh
Hii mvua inabaridi hatar nahisi nmefikishwa mkoa bila kupendaKwa wale tuliopo Dar labda sababu ya kimvua hiki....si unajua tena mambo ya mvua
siko pande hizo mkuuOk nikajua uko pande hizo
Pole mkuu, ila afadhali joto limepunguaHii mvua inabaridi hatar nahisi nmefikishwa mkoa bila kupenda
mkoa gani unahisi?Hii mvua inabaridi hatar nahisi nmefikishwa mkoa bila kupenda
Raha sn af unyeshaji wake wa kiugomvi ugomvi flani hv



)Mkuu na barabara zetu hapa mjini si itakuwa balaa yaani tutakuwa tupo robo ya corona
Kweli sijakuona mudaKitambo kweli....nimekuwa msomaji
NipoKweli sijakuona muda
Uko poa kabisa?
Nipo salama kabisa nashukuruNipo
Salama huko uliko?