Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,579
- 5,792
Ndiyo mkuu, sina sehemu nyingine ya kuangalizia[emoji28]Ulicheki mechi maeneo ya terminal au
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu, sina sehemu nyingine ya kuangalizia[emoji28]Ulicheki mechi maeneo ya terminal au
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa aa wapi sio fan wa liverkuku mimi, nilienda kuangalia anavyotolewa nishai.[emoji38][emoji38][emoji38] kumbe ni fan wa Liverpool ww kalale tu maana mmetamba sana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hukutoa hata taarifa..ngoja nilale,kesho naamka na risala ndefu pm[emoji16]
Chama lako lipi ww Arsenal?Hahaaaa aa wapi sio fan wa liverkuku mimi, nilienda kuangalia anavyotolewa nishai.
Sent using Jamii Forums mobile app
(4.0MB AUDIO) Bando ft Stamina & Billnass - CHAMA LA WANA mp3 Download - Tabell East Africa | Nyimbo mpyaSawa fam
Hapana pia, leo nimeponea chupu chupu kufungwa nimeishia kuchonga droo.Chama lako lipi ww Arsenal?
[emoji38][emoji38][emoji38] niliangalia game la blues saa 1800 ilikuwa ngumu kumeza bado kidogo itoke.Hapana pia, leo nimeponea chupu chupu kufungwa nimeishia kuchonga droo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe pia hommie.
Usiku bado mchanga ila popoz tulioshindwa kazi tulale tu
Amen01:08 Kumtegemea MUNGU ni jambo jema. Nawatikieni maandalizi mema ya Ibada kesho kwa wale walutheri, RC, EAGT, Fellowship Bible Church, AICT na wengine wote.
Peace Out[emoji3577]
Mabinti Leo hawapo, lindo wamrmwachia nani? Atakayejiyokeza APM nimpe 10000 yq vocha