Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Mtt wakizungu anakukeep busy sana siku hizi.
Mtt wakizungu anakukeep busy sana siku hizi.
[emoji38][emoji38] hamna kitu humo ni laana tu hapo.Hata mi nimeshtuka
Beggars can't be choosers
Hapa usingizi ndo unaelekea kileleniKumekucha sasa.
Kileleni unapajua ww?Hapa usingizi ndo unaelekea kileleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee ushaanza maswali tata...Kileleni unapajua ww?
hapana mm nimeuliza tu maana kuna nyimbo ya Hip Hop hapa nasikiliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee ushaanza maswali tata...
Ila nakijua yeap
Huyo rapper alikosa mistari [emoji23][emoji23][emoji23]hapana mm nimeuliza tu maana kuna nyimbo ya Hip Hop hapa nasikiliza hapa
Mwana anasema maisha safari isiyo na traffic, sasa wanaofika kileleni gari huwa wanapandia wapi?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wapi saiz we mzee?
Sisi kama Watford tunaruhusiwa kupumzika sasa baada ya shughuli ngumu ya kumnyonyoa jogoo kishingo.Usiku bado mchanga ila popoz tulioshindwa kazi tulale tu
Wewe jombaa... ngoja nilale maana nna lawama zako za wese
Ulicheki mechi maeneo ya terminal auSisi kama Watford tunaruhusiwa kupumzika sasa baada ya shughuli ngumu ya kumnyonyoa jogoo kishingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikutumie link hiyo nyimbo uipakue inamistari ya utata sana lazima ucheke utake usitake ni lazima.Huyo rapper alikosa mistari [emoji23][emoji23][emoji23]
Vilele vinafikika kwa vitu asili kama miguu tu. Magari hayaez
[emoji28][emoji28][emoji28]Wewe jombaa... ngoja nilale maana nna lawama zako za wese
[emoji38][emoji38][emoji38] kumbe ni fan wa Liverpool ww kalale tu maana mmetamba sana.
Sawa fam[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikutumie link hiyo nyimbo uipakue inamistari ya utata sana lazima ucheke utake usitake ni lazima.
Pole sana
Hukutoa hata taarifa..ngoja nilale,kesho naamka na risala ndefu pm[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]
Haukunikumbusha kipindi naludi, ila nitakuagizia.
Sent using Jamii Forums mobile app