Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
Hahahaha, sio alkasusu hyJf bhana!!.Ina maana kuna sehemu wanauza kahawa saa 9?
Hahahaha, sio alkasusu hyJf bhana!!.Ina maana kuna sehemu wanauza kahawa saa 9?
Dah...njoo Uhuru/Msimbazi [emoji41]Jf bhana!!.Ina maana kuna sehemu wanauza kahawa saa 9?
Hiki sio chakula kweli hiki eti wadau?
Aisee nahitaji kuifanyia kazi hii misamba
Acha uhuni usiniambie ujajua ni nani huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha ni ME/KE? nimeshindwa kuielewa
Poa vp dude.wakuu mpo ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata mi nimeshtukaHiki sio chakula kweli hiki eti wadau?