HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Walinzi mpo. Leo nimeingia lindo kwa hisani ya arsenal. Bora ninge lala tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Walinzi mpo. Leo nimeingia lindo kwa hisani ya arsenal. Bora ninge lala tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha ni ME/KE? nimeshindwa kuielewa
Duuh me apa nimeamka kuna fisi analia af mlango wangu nimeukuta wasi sijui Mimi ndo nlisahau kuufunga ama laa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh me apa nimeamka kuna fisi analia af mlango wangu nimeukuta wasi sijui Mimi ndo nlisahau kuufunga ama laa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee una 100 tuchukue kahawa.lindo Leo tumebaki wawili,sasa tukilala na silaha hatari sanaImalisheni lindo,mipaka iko salama
Uko mkoa gani mzee?Jf bhana!!.Ina maana kuna sehemu wanauza kahawa saa 9?
IPO 100fc ,inatosha master clubMzee una 100 tuchukue kahawa.lindo Leo tumebaki wawili,sasa tukilala na silaha hatari sana