Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Mambo mengi mzee wangu lazima tulipe madeni mapema mwaka huu.Virus imeingia kwenye hili jukwaa... Muda muafaka kubadili Avatar na Jina la wana lindo.
Mambo mengi mzee wangu lazima tulipe madeni mapema mwaka huu.Virus imeingia kwenye hili jukwaa... Muda muafaka kubadili Avatar na Jina la wana lindo.
Shida nn bestie?!Msione sikeshi nanyi mkadhani ninafanya makusudi, 'moyo u radhi ila mwili ni dhaifu'
Sent using Jamii Forums mobile app

Rudisha vifaa vyetu vya ulinzi😁😁Msione sikeshi nanyi mkadhani ninafanya makusudi, 'moyo u radhi ila mwili ni dhaifu'
Sent using Jamii Forums mobile app
02:33 inabidi tuongezwe mshahara tuDakika ishirini na nane saa nane usiku
Thats ma dawg. I hear you, Hyundai right? U aint speeding though..
Kabisa mkuu